Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tovuti Rasmi ya Rais

Habari

Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.John Pombe Magufuli akitoa heshima zake za mwisho kwa Marehemu Profesa Egid Beatus Mbofu aliyekuwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma(UDOM) , Tabata Wilaya ya Ilala nyumbani kwa marehemu,aliyefariki dunia Desemba 18,2018 Nchini Afrika Kusini.(Bofya blog kwa habari na picha)


-