Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tovuti Rasmi ya Rais

Habari

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Bi.Anna Mgwila mara baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro KIA Mkoa wa Kilimanjaro na kuelekea Mererani wilaya ya Simanjiro mkoa wa Manyara kwaajili ya ufunguzi wa barabara ya KIA – MERERANI yenye urefu wa km26. Septemba,20 ,2017.(Bofya blog kwa habari na picha)


-