Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tovuti Rasmi ya Rais

Habari

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Malte Loknitz kutoka Ujerumani (kushoto) ambaye alikuwa akitambulishwa na Balozi wa Ujerumani hapa nchini Dkt. Detlef Waechter katikati mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.


-