Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tovuti Rasmi ya Rais

Habari

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.John Pombe Magufuli akionyesha hundi ya fedha kwaajili ya gawio la la Serikali la mwaka aliyokabidhiwa na Mkurugenzi wa Shirika la Simu Tanzania Waziri Kindamba na Mwenyekiti wa Bodi ya TTCL Omary Nundu wakati wa uzinduzi wa upanuzi wa huduma za Shirika la Simu Tanzania (TTCL) katika ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.Juni 21 2018.(Bofya blog kwa habari na picha)


-