Habari
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akionesha Kitabu cha Utekelezaji wa Mpango huo wa TASAF pamoja na Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Ali Hassan Mwinyi, Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamin Mkapa, Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Kikwete, mara baada ya kuzindua Kipindi cha awamu ya Tatu ya Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF III) katika ukumbi wa Mikutano wa Julius Nyerere International Convention Centre JNICC. (Bofya blog kwa habari na picha)

-