Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tovuti Rasmi ya Rais

Habari

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Makamu wa Rais Mhe.Samia Suluhu Hassan mara baada ya kuzindua Mji Mpya wa Serikali katika Sherehe zilizofanyika katika jengo jipya la Wizara ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, pamoja na ufunguzi wa Majengo 21 ya Wizara zote eneo la Mtumba Jijini Dodoma Aprili 13,2019.


-