Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tovuti Rasmi ya Rais

Habari

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Kitabu ambacho kina majina na orodha ya Makampuni ya Wafanyabiashara 17447 ambayo yamekuwa yakifanya udanganyifu ikiwemo ukwepaji wa kodi mara baada ya kikao na Wafanyabiashara Ikulu jijini Dar es Salaam.


-