Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tovuti Rasmi ya Rais

Habari

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akijadiliana jambo na Balozi wa Ujerumani hapa nchini Dkt. Detlef Waechter mara baada ya kumaliza kikao chao na ujumbe kutoka nchini Ujerumani Ikulu jijini Dar es Salaam.


-