Habari
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifurahi na Wanafunzi wa shule ya msingi Ihumwa aliposimama kuwasalimia mara baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa reli ya kisasa SGR itakayo toka Morogoro hadi Dodoma.

-