Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tovuti Rasmi ya Rais

Habari

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia mfano wa Uwanja mkubwa wa mpira wa miguu utakaojengwa Jijini Dodoma kwa ufadhili wa Mfalme wa Morocco Mohamed VI. Uwanja huo utakuwa na uwezo wa kuchukua watazamaji 85,000 (normal capacity) waliokaa kwenye viti lakini pia utaweza kubeba washabiki hadi105,000 kama walivyopanga. Kwa nje uwanja huo utakuwa na muonekano kama mlima Kilimanjaro hivyo kuzidi kupamba madhari ya mjii mkuu wa Tanzania mkoani Dodoma.


-