Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tovuti Rasmi ya Rais

Habari

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ,makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan,katibu mkuu kiongozi pamoja na mawaziri wakisimama kwa heshima kumkumbuka aliyekuwa karani wa Baraza la mawaziri ndugu Hassan Rashid Shebuge aliyefarikidunia mwezi julai mwaka huu,kabla ya kuanza kwa kikao cha Baraza la mawazirikilichofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Agosti 29, 2017. (Bofya blog kwa habari na picha).


-