Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tovuti Rasmi ya Rais

Habari

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akiwahutubia wajumbe wakati wa ufunguzi wa mkutano mkuu wa 33 wa Jumuiya ya Tawala za mitaa Tanzania (ALAT)katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa mwalimu Nyerere Jijini Dar es salaam Oktoba3,2017.(Bofya blog kwa habari na picha)


-