Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tovuti Rasmi ya Rais

Habari

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akiwa ameshikana mkono na Mwadhama Kadinali Policapy Pengo Askofu mkuu wa Kanisa la Katoriki mara baada ya kushiriki Ibada ya Majivu katika Kanisa la Mtakatifu Joseph Jijini Dar Es Salaam.Februari 14,2018.(Bofya blog kwa habari na picha)


-