Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tovuti Rasmi ya Rais

Habari

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amepiga magoti pamoja na mkewe Mama Janeth Magufuli wakati akiombewa na Maaskofu wa Kanisa la Waadventista Wasabato Magomeni, maombezi yaliyoongozwa na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Kusini mwa Tanzania Marc Walwa Malekana(wakwanza kushoto)02 septemba 2017.(Bofya blog kwa habari na picha).


-