Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tovuti Rasmi ya Rais

Habari

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akitoa salamu za Sikukuu ya Pasaka kwa Waumini na Watanzania kwa ujumla wakati wa misa ya maadhimisho ya Sikukuu ya Pasaka iliyofanyika katika Kanisa la Parokia ya Mtakatifu Joseph Jijini Dar Es Salaam.April 1,2018.(Bofya blog kwa habari na picha)


-