Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tovuti Rasmi ya Rais

Habari

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akisikiliza maelezo kuhusu kipimo cha CT-SCAN wakati wa sherehe ya ufunguzi wa hospitali ya Taaluma na Tiba ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi shirikishi Muhimbili iliyopo kampasi ya Mloganzila Novemba 25,2017.(Bofya blog kwa habari na picha )


-