Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tovuti Rasmi ya Rais

Habari

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akinywa Dafu alilonunua kwa mjasiliamali Paschal Sabas mara baada a kukagua ukarabati wa Mradi wa Jengo la Kitega Uchumi la Ccm (SUKITA) lililopo mtaa wa Lumumba ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Miaka 42 ya CCM. Jijini Dar es Salaam. Febuari 5,2019.


-