Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tovuti Rasmi ya Rais

Habari

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akimpongeza Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya CRDB Bw. Ally Laay mara baada ya kufungua rasmi tawi la benki ya CRDB jengo la LAPF Dodoma disemba 13,2017.(Bofya blog kwa habari na picha)


-