Habari
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimpa zawadi mototo msanii maarufu kama Bob li alipowasili wilaya ya Karagwe kufungua Barabara ya Kyaka - Bugene mkoani Kagera Novemba 7,2017.(Bofya blog kwa habari na picha)
-