Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tovuti Rasmi ya Rais

Habari

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi zawadi Makongoro Nyerere mtoto wa Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius kambarage Nyerere iliyotolewa na Mkurugenzi wa NMB Bi. Ineke Bussemaker wakati wa sherehe za ufunguzi wa jengo la mfuko wa hifadhi ya jamii wa PSPF pamoja na ofisi ya makao makuu ya benki ya NMB na tawi la NMB Kambarage Mjini Dodoma.Aprili 23,2018.(Bofya blog kwa habari na picha)


-