Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tovuti Rasmi ya Rais

Habari

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akiagana na Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere mara baada ya kumaliza ziara yake rasmi ya siku mbili.Juni 28,2018.(Bofya blog kwa habari na picha)


-