Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tovuti Rasmi ya Rais

Habari

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufulia pamoja na Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni wakiweka Jiwe la Msingi Mradi wa Ujenzi wa Bomba la Mafuta Ghafi kutoka Hoima, Uganda hadi Tanga Tanzania katika kijiji cha Chongoleani Tanga Agosti 5,2017 (Bofya blog kwa habari na picha)


-