Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tovuti Rasmi ya Rais

Habari

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa na viongozi wengine wakimsaidia kushika utepe anaoukata kama ishara ya kufungua rasmi barabara ya Kyaka Bugene yenye urefu wa Km 59.1 eneo la Kayanga wilayani Karagwe mkoa wa Kagera Novemba 7, 2017


-