Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tovuti Rasmi ya Rais

Habari

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakitoa heshima zao za mwisho walipojiunga na waombolezaji wengine kuaga mwili wa marehemu Mzee Sylivester Lubala Shimba, baba mzazi wa Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angelina Mabula, Mikocheni jijini Dar es salaam.Aprili 12, 2018.(Bofya blog kwa habari na picha)


-