Habari
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania dkt. John Pombe Magufuli na mgeni wake Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni na viongozi wengine wakiimba nyimbo za Taifa wakati wa kuanza kwa sherehe za ufunguzi rasmi wa jengo la Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere Julius Nyerere jijini Dar es salaam. Septemba 6, 2019.(Bofya blog kwa habari na picha)
-