Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tovuti Rasmi ya Rais

Habari

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mama Janeth Magufuli wakimkaribisha Rais mstaafu wa awamu ya Tatu Benjamin William Mkapa Chato Mkoani Geita. Rais Mstaafu Mkapaambapo julai 10,2017 anatarajiwa kukabidhi nyumba 50 za watumishi wa sekta ya Afya zilizojengwa na Taasisi ya (Mkapa Foundation) katika mikoa ya Simiyu, Kagera na Geita (Bofya blog kwa habari na picha)


-