Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tovuti Rasmi ya Rais

Habari

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza anayeshughulikia maswala ya Afrika Mhe. Rory Stewart pamoja na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Mhe. Sarah Cooke walipomtembelea na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam Agosti 23, 2017.(Bofya blog kwa habari na picha)


-