Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tovuti Rasmi ya Rais

Habari

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akpokea toka kwa Balozi wa Kenya hapa nchini Mhe. Dkt. Dan Kazungu pamoja na Naibu Balozi wa Kenya Mhe. Boniface Muhia Shilingi milioni 125 za Rambirambi ya nchi hiyo kwa Tanzania kufuatia ajali ya kivuko cha MV Nyerere huko Mwanza mwezi uliopita.Ikulu jijini Dar es salaam. Oktoba 8, 2018(Bofya blog kwa habari na picha)


-