Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tovuti Rasmi ya Rais

Habari

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt.Hamis Kigwangala, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt.John Kijazi,Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Abdallah Ulega,Katibu Mkuu TAMISEMI Mhandisi Joseph Nyamuhanga pamoja na Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Doroth Mwanyika kuhusu kusitisha zoezi la kuwaondoa Wananchi wanaoishi katika Vijiji na Vitongoji vilivyopo katika maeneo ya Hifadhi. Ikulu Jijini Dar es salaam Januari 15,2019


-