Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tovuti Rasmi ya Rais

Habari

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akiwasikiliza balozi Issa Suleiman Nassoro na Balozi Abdulrahaman Kaniki wakila kiapo cha maadili kwa kamishina wa tume ya maadili ya viongozi wa umma Jaji mstaafu Haroid Msekela mara baada ya kuapishwa Ikulu jijini Dar es Salaam,Oktoba 5,2017.(Bofya blog kwa habari na picha)


-