Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tovuti Rasmi ya Rais

Habari

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwashuhudia Meja Jenerali mstaafu Simon Marco Mumwi na IGP Mstaafu Ernest Jumbe Mangu wakila kiapo cha maadili ya viongozi baada ya kuwaapisha kuwa Balozi wa Tanzania nchini Urusi na Rwanda katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam.Machi 21, 2018.(Bofya blog kwa habari na picha)


-