Habari
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete alipokutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam. Oktoba 23, 2018(Bofya blog kwa habari na picha)
-