Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tovuti Rasmi ya Rais

Habari

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Naibu Waziri wa Afya Mhe. Faustine Ndugulile wakiwea saini vitabu vya wageni katika ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Mhe Sarah Msafiri na viongozi wengine baada ya kulifungua rasmi jengo la ofisi hizo. Februari 11, 2020. Waliosimama ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda na Mkurugenzi wa Wilaya ya Kigamboni Bw. Ng'ulwabuzu Ludigija


-