Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tovuti Rasmi ya Rais

Habari

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mkewe Mama Janeth Magufuli wakitoa pole kwa Mzee Mashaka Gambo kwa kufiwa na mkewe Rehema Mumbuli ambaye pia ni mama mzazi wa Mrisho Gambo mkuu wa mkoa wa Arusha,Mtaa wa Muheza Kariakoo Jijini Dar es salaam.Aprili 18,2018.(Bofya blog kwa habari na picha)


-