Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tovuti Rasmi ya Rais

Habari

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi Wakuu mbalimbali wakiwemo, Marais Wastaafu, Makamu wa Rais Wastaafu, Mawaziri Wakuu Wastaafu, Maspika Wastaafu na Majaji Wakuu Wastaafu mara baada ya kuzungumza nao Ikulu jijini Dar es Salaam.Julai 3,2018.(Bofya blog kwa habari na picha)


-