Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tovuti Rasmi ya Rais

Habari

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu UAE Abdullah Ibrahim Al-Suwaidi wa pili kutoka (kushoto) aliyeambatana na Ujumbe wake Ikulu jijini Dar es Salaam. Wengine katika picha ni Waziri wa mambo ya Nje Balozi Dkt. Augustine Mahiga na Balozi Zuhura Bundala wa kwanza (kulia)(Bofya blog kwa habari na picha)


-