Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tovuti Rasmi ya Rais

Habari

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Waziri wa Ardhi, Kilimo, Maji, Mazingira na Makazi vijijini wa Zimbabwe na Mjumbe Maalumu wa Rais wa nchi hiyo Mhe. Pretence Shiri akiwa pamoja na Kaimu Balozi wa Zimbabwe nchini Mhe. Martin Tavenyika alipokutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam. February 7, 2019


-