Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tovuti Rasmi ya Rais

Habari

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika Ibada ya Jumapili ya Matawi pamoja na Mke wake Mama Janeth Magufuli na Mke wa Waziri Mkuu Mama Mary Majaliwa,Ibada iliyofanyika katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam.Machi 25,2018.(Bofya blog kwa hyabri na picha).


-