Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tovuti Rasmi ya Rais

Habari

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa ameshika kombe alilokabidhiwa na timu ya Vijana chini ya miaka 17 ya Serengeti boys ambao wamekuwa mabingwa wa CECAFA 2018 katika michuano iliyofanyika Nchini Burundi,hafla iliyofanyika katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.Mei 19,2018(Bofya blog kwa habari na picha)


-