Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tovuti Rasmi ya Rais

Habari

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitia saini kitabu cha maombelezo nyumbani Gerezani Railway club kwa Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe,Alphaxard Lugola aliyefiwa na mkewe Mary Lugola Jijini Dar es Salaam.Januari 2,2018.(Bofya blog kwa habri na picha)


-