Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tovuti Rasmi ya Rais

Habari

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishuhudia Waziri wa Sheria na Katiba Profesa Palamagamba Kabud na Mwenyekiti wa kampuni ya Bharti Airtel Bw. Sunil Mittal wakitia saini makubaliano mapya ya ubia kati ya serikali itayokuwa na asilimia 49 na Airtel na asilimia 51 kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam, Januari 15, 2019. Katikati ni Waziri wa Sheria na Katiba Profesa Palamagamba Kabudi.


-