Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tovuti Rasmi ya Rais

Habari

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwanasiasa mkongwe Mzee Kingunge Ngombale Mwiru alipomtembelea kumjulia hali katika Wodi ya Mwaisela hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam ambapo amelazwa akipatiwa matibabu ya majeraha baada ya kujeruhiwa na Mbwa wake.(Bofya blog kwa habari na picha)


-