Habari
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akirudisha kitabu hicho kwenye shelfu la vitabu mara baada ya kukisoma huku Balozi wa China hapa nchini Wang Ke akiangalia kabla ya kufungua Maktaba ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam yenye uwezo wa kuchukua wanafunzi 2100 kwa wakati mmoja. Makataba hiyo pia ina Ukumbi mkubwa wa Mikutano wenye viti 600 na uwezo wa kuhifadhi vitabu 800,000.(Bofya blog kwa habari na picha)

-