Habari
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokeTuzo Maalumu aliyokabidhiwa na Chama Cha Madaktari Tanzania (MAT) kwa kutambua mchango wake Mkubwa katika sekta ya Afya nchini toka kwa Rais wa Chama hicho Dkt. Elisha wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Madaktari Kitaifa mwaka 2020 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam Februari 20, 2020
-