Habari
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea ujumbe kutoka kwa Mjumbe Maalumu wa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo Mhe. Leonard She Okitunda alipofika Ikulu jijini Dar es salaam kuwasilisha ujumbe huo Juni 5, 2017 (Bofya blog kwa habari na picha)

-