Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tovuti Rasmi ya Rais

Habari

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Ripoti kutoka kwa Prof. Nehemiah Eliachim Osoro Mwenyekiti wa kamati ya pili ya uchunguzi wa madini yaliyo kwenye Makontena yenye Mchanga unaosafirishwa nje ya Nchi, Ikulu jijini Dar es salaam June, 12,2017


-