Habari
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi mteule wa Shirikisho la Jamhuri ya Brazil hapa nchini Mhe. Antonio Augusto Martin Cesar. Ikulu Jijini Dar es Salaam. Januari 16,2019.(Bofya blog kwa habari na picha)

-