Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tovuti Rasmi ya Rais

Habari

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipewa maelekezo na kuuliza maswali alipowasili eneo lenye matanki ya kuhifadhia mafuta ya kula baada ya kushushwa melini alipofanya safari ya ghafla kukagua uingizwaji na ugawaji wa ulipiaji wa ushuru bidhaa hiyo kwenye bandari ya Dar es salaam.Mei 15, 2018.(Bofya blog kwa habari na picha)


-