Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tovuti Rasmi ya Rais

Habari

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipata picha ya pamoja na wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama baada ya kuwaapisha Mhe. Alphayo Kidata kuwa balozi wa Tanzania nchini Canada na Mhe. Msalika Robert Makungu kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Tabora,kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam.Mei 10, 2018.(Bofya blog kwa habari na picha)


-