Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tovuti Rasmi ya Rais

Habari

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipata maelezo toka kwa Bw. Kagera Zacharia Ng'weshemi juu ya uendeshaji wa mashine ya kisasa ya kuchambulia na kugundua vinasaba vya aina mbalimbali ikiwemo dawa za kulevya alipotembelea Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali jijini Dar es salaam Agosti 20, 2019. Mashine hiyo za aina hiyo katika Afrika zipo Tanzania, Afrika Kusini na Madagascar pekee.


-